Wanajamvi habarini, mimi ni miongoni mwa walimu wapya walioajiriwa mwaka huu na serikali ya JK. Post yangu imepelekwa mkoa wa Mwanza wilaya ya Magu, tafadharini naomba kwa wale wenyeji wa eneo...
Mimi ni mwanafunzi ninayejisomea masomo binafsi kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa kidato cha sita.
Naomba mwalimu yeyote aliye tayari kunifundisha General Studies anitumie sms INBOX ili...
Msaada mwenye nayo, ama hata mwenye vitabu.
Recommendations zenu pia nitashukuru sana.
Mifano ya majengo ambayo ninahitaji requirements zake za design ni kama haya hapa chini.
Nimejaribu google...
Kila niki jaribu kutatufa B ya biologia ina ni shinda na ishia kupata C na D,na mitihani ni rahisi, kusoma na soma sana tu lakini sielewi tatizo ni nini na mtihani wa kuhitimu kidato cha sita una...
Wakuu Salaam.
Katika maadhimisho ya "Karume Day" Mkuu wa mkoa wa Arusha alipokuwa akitoa hotuba yake ktk uwanja wa Sheikh Amri Abeid, aligusia suala la ku-adopt mfumo wa kuwa na mtihani mmoja kwa...
Kwenda shule ni ile hali ya kuhudhuria kwenye kituo kinachojishughulisha na kutoa elimu. Watu wengi wameenda shule .. iwe ya msingi, upili, vyuo n.k. Ila ni wachache sana ten asana walioelimika...
Habari za Leo ndg, ningependa kujua vyuo vizuri vya afya vinavyotoa cozi ya clinical officer vilivyopo mikoa ya mwanza,Dodoma au dar, pia ningependa kujulishwa na ada zake.
Mimi ni graduate wa bachelor BED'S with ICT lakini bahati mbaya ni kuwa shule nyingi za kata ambako tunategemea kwa ajili ya tempo and part time teaching ,shule nyingi hazina computer . na private...
Habari za jioni,
1. Je, inawezekana mtu kujiunga na Certificate In Electrical engineering akitokea VETA (NTA LEVEL 2)?, yaani aruke NTA level 3
2. Kama inawezekana, Je utaratibu mzima umekaa...
Guys habari zenu, mm ni graduate wa computer science, pia ni specialist wa mambo ya network securitg. In short kat ya applications ambazo natamani kila kazi yangu niifanyie humo ni excel. Nikiri...
Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David Bowie msanii ajulikanaye kama msomaji...
Habari wakuu, kuna dogo ana F ya math's but kafaulu kwa wastani masomo mengine akiwa na C zote na B ya kiswahili tu sasa alijaza PCB na ndo anatarajia kusoma advance, je anaweza kuchaguliwa au...