Naweza kuunganisha vyeti kwenda chuo?

Naweza kuunganisha vyeti kwenda chuo?

cattoon

Senior Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
142
Reaction score
43
Nina vyeti viwili ili niwe na vigezo kwenda chuo cheti cha kwanza D D na cha pili D D.vigezo ni D nne
 
Inawezekana hata kwenye udahili wa Nacte wanakuambia uingize namba zako zote za mitihani na mara ulizofanya paper ya necta
 
Nafikiri inawezekana lakini kwa uhakika check na chuo unachofikiria kwenda. Mara nyingi wakati wa kuomba watahitaji uingize data ya vyeti vyote viwili.
 
Back
Top Bottom