Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
Habari wa JF naomba kujua mtu ambaye anafanya kibarua yaani hana mkataba wa kazi wa aina yoyote anapaswa kulipa kodi? Naomba kuelimishwa hapa.
Kama mshahara unaolipwa unazidi Tshs 170,000 kwa mwezi, basi kwa mujibu wa sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004 unapaswa kulipa kodi ya mshahara (PAYE).Habari wa JF naomba kujua mtu ambaye anafanya kibarua yaani hana mkataba wa kazi wa aina yoyote anapaswa kulipa kodi? Naomba kuelimishwa hapa.