Maombi ya ualimu msingi huwa ni mwezi wa ngapi?

Maombi ya ualimu msingi huwa ni mwezi wa ngapi?

civillizer

Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
9
Reaction score
0
Kwa yeyote anaejua taratibu za kuomba vyuo vya ualimu wa msingi huwa ni mwezi wa ngapi? Msaada jamani
 
Kwa vyuo vya serikali tu ndio yanafanyika nacte kama ni vyuo vya private yanafanyika huko huko vyuoni halafu mwishoni wanapeleka majina nacte kw ajili ya kuyahakiki
 
Back
Top Bottom