Nina shahada ya Education, naweza kusoma Postgraduate ya Kilimo

Nina shahada ya Education, naweza kusoma Postgraduate ya Kilimo

TumaMtui

New Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Hivi kwa bachelor yangu ya education, naweza kusoma post graduate ya kilimo?
 
Kwa bachelor yako ya Education unaweza kusoma post graduate yoyote mkuu
 
inategemeana bachelor umesoma kozi gani maana huwezi soma bachelor ya history na kiswahili halafu post graduate ukasoma kozi ya kilimo au afya.
 
Utakuwa na taaluma kachumbari, haviendani na zaidi haziomgezi value.

Kwa ushaur kasome MPA.
 
hakuna iyo postgraduate nimesoma pale sua miaka 3 sijawahisikia iyo kitu labda ndio imeanza
 
Kwa bachelor yako ya Education unaweza kusoma post graduate yoyote mkuu
kama ni masomo ya sayansi unaweza. ila kama ni HkL na ndugu zake hapana. Laabda ukaanze certificate
 
Back
Top Bottom