Wadau.
Mimi nina shahada ya ya kwanza ya PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT. Nahitaji kuendelea na masomo,nimepata taarifa kuwa hapa dsm kuna chuo posta kinaitwa Tanzania Institute of Project...
Nina elimu yangu ni kidato cha nne nimepata division four ya 27
Book_keeping-D
Commerce-D
English-D
Geography-D
History-D
Kiswahili-C
Islamic-D
Basic mathematics-D
Biology-F
●NAOMBENI USHAURI...
Napenda kwa wale wanaojua maana ya jina hili la huyu Mh.rais wa jamhur ya kidemocrasia ya watu wa congo na historia yake toka mwanzo wa urais wake na misuguano kati yake na mwanamuzi na gwiji wa...
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi...
Wapendwa wana jf naomba kwa anayeifaham shule ya Cornerstone Leadership Academy kuhusu vigezo vya kujiunga na hiyo shule alafu na mengineyo zaid naomba anijulishe Tafadhali kwan natamani niijue...
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA RAISI
1.LAMECK KAMULI- 506 sawa na 38.1%
2.CHACHA KYARO -438 sawa na 32.9
3.GWAKISA A. MWAIPOPO 384 sawa na 28.9%
Hongera nyingi kwake Lameck Kamuli
Habarini wanaJF...
Naomba kufahamishwa maswali haya;
1. Hivi kwa mwanafunzi aliyepewa mkopo na bodi ya mikopo yaani 100% chuo kikuu, anakua na deni la jumla ya Tshs ngapi baada yakumaliza masomo...
habari za asb wanajamvi nipo mbele yenu naomba kuuliza kwa dar ni wapi kuna chuo kizuri cha uandishi wa habari na utangazaji tv & radio broadcast na je ada zipoje mkuu pia khsu field pia kama...
Habari wadau. Naomba niulize kuna taarifa zinazagaa vyuoni. Kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 na kujiunga na March intake 2016 hawataruhusiwa kuingia bachelor mwaka 2018/2019 .Naomba majibu...
Habarini wana JF, kuna questionnaire nimeandaa kuhusu afya na huduma zitolewazo kwenye afya ya magonjwa ya akili.
Nisaidieni kujaza hii questionnaire, kwa kuclick kwenye link hiyo chini, ili...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA, TAREHE 25 NOVEMBA, 2010
Mhe. Benjamin William...
Nilihitimu Form six mwaka 2014 katika shule ya ufundi IFUNDA ( IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL). Sasa kutokana na muda na ratiba kubana baada ya kuingia chuo, nilikuja kujua kuwa hiyo shule...
Diploma gani naweza kwenda kusomea kwa upande wa health au engeniaring ikiwa Nina division 3 ya 23?
Na nina C ya physics na biology.
D ya maths na chemistry
Hebu vuta picha, namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule ya msingi. Umepiga jaramba maili...
nianze kwa swali dogo?
Mwana fasihi ni nani?
je ni kweli Mwanafasihi ni mtu wa kwanza kuumbwa na mwenyezi Mungu ili apate kuwatumia kuujuza ulimwengu?
Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu nilipata...