British council Tanzania English examination schedule, etc

British council Tanzania English examination schedule, etc

Ze observer

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
233
Reaction score
493
Habari wanazuoni, mimi ni mmoja wa wadau wanaotamani sana kusoma nje (scholarship) ila shida ni kwamba kuna mtihani wa kiingereza kwaajili ya kiambatanisho cha certificate - maswali yangu ni kwamba je? Mtihani hua ni wa kufaulu au wanafeli wengi, na je upatikanaji wake au kujisajuli kwake kwaajili ya kufanya mtihani hua ikoje, na hua unafanyika lini, na je cheti hua kina expire na kama kuna maelezo zaidi ya maswali . Naomba msaada wanajukwaa
 
Ze observer ofisi za British council zipo down town Dar karibu kabisa na jengo la zamani (makao makuu ya tannesco) au tembelea web site yao
 
Back
Top Bottom