Kampala university kimeruhusiwa kudahili?

Golden felician

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
216
Reaction score
36
Kampala university kimefungiwa au hakijafungiwa maana nimeapply certificate ya clinical officer pale
 
Ufaulu wako ukoje bwana mdogo?
Nina Dvs3 ya 23.Nimekosa credity moja ya chemistry sababu Nina D.ila physics na biology Nina C.lakini mathematics na English Nina D.sasa nataka nikasomee pale KIU CO kwa ngazi ya certificate kwa miaka miwili then diploma kwa mwaka mmoja.
Nashindwa nifanyeje.maan naskia akijaruhusiwa kudahili
 
Kila siku nakipita hapa gongo la mboto nikiwa naelekea twit banana, nenda Advance kwanza acha mchecheto kaka.
 
Nina Dvs3 ya 23.Nimekosa credity moja ya chemistry sababu Nina D.ila physics na biology Nina C.lakini mathematics na English Nina D.sasa nataka nikasomee pale KIU CO kwa ngazi ya certificate kwa miaka miwili then diploma kwa mwaka mmoja.
Nashindwa nifanyeje.maan naskia akijaruhusiwa kudahili
Unataka kusoma diploma ya nini?
Chagua hapo:
1. DIT
2. Water Institute
3. Madini.
 
Unataka kusoma diploma ya nini?
Chagua hapo:
1. DIT
2. Water Institute
3. Madini.
Me nataka CO.lakini sianzii diploma naanzia certificate kwa sababu nimekosa C ya chemistry ili nianzie diploma
 
Kampala university kimefungiwa au hakijafungiwa maana nimeapply certificate ya clinical officer pale
tcu-vyuo-1.png
 
Yaan ukinitajia hiki chuo najisikia vibaya ni uharo pale hakuna shule nimesoma C.O kwa semister 1 tu nimehama sijui kwanini serikali haiwajibiki dhidi yao
 
Nina Dvs3 ya 23.Nimekosa credity moja ya chemistry sababu Nina D.ila physics na biology Nina C.lakini mathematics na English Nina D.sasa nataka nikasomee pale KIU CO kwa ngazi ya certificate kwa miaka miwili then diploma kwa mwaka mmoja.
Nashindwa nifanyeje.maan naskia akijaruhusiwa kudahili
Kaka tafadhali nakuomba usiende utakumbuka haya maneno hata mimi niliambiwa kama hivi nikapuuza
 
Back
Top Bottom