Je, buibui (spider) ni mdudu?

Je, buibui (spider) ni mdudu?

Ni kutokana na unavyotafsiri wadudu.
Lakini ki sayansi spider sio mdudu(insect)

Sababu mdudu (insect)anatakiwa kuwa ma 3 body parts na 3 pair of legs kitu ambacho spider hana
 
ndio ni mdudu!
ana antenna
3 pair of legs
body divided into.....parts
Asante kwa ufafanuzi ndugu umefanya vyema kuliko walioleta matani, lakini mbona hana hivyo ulivyo viainisha?
 
Ni kutokana na unavyotafsiri wadudu.
Lakini ki sayansi spider sio mdudu(insect)

Sababu mdudu (insect)anatakiwa kuwa ma 3 body parts na 3 pair of legs kitu ambacho spider hana
mada imefika patamu
 
1.1Tmarus_0.jpg
 
Spider sio mdudu according to advanced biology. Wanajulikana kama arachnids. Kichwa kimeungana na sehemu ya kati, wakati mdudu lazima awe na sehemu tatu ktk mwili wake
 
Back
Top Bottom