12Jose2018
Member
- May 2, 2018
- 12
- 2
Naombeni mawazo yenu ya kitaalamu wakuu kuna dogo hapa alimaliza form four mwaka 2017 alifaulu akiwa na three ya point 24 sasa anahofia akipangiwa advance atapelekwa arts mawazo ya wadau wengi wanamshauri aende college ya afya tatizo kuu yeye hakuchukua physics lakin alisoma chemistry anaweza kupata nafasi katika kozi gani ya afya wakuu msaada