Habari zenu wanafamilia.
Hebu tushauliane hapa,hivi inawezekana kusoma masomo ya sayansi ya A level kwa mwaka mmoja na ukafaulu vizuri kuendelea na chuo kikuu.mfano wa masomo yenyewe ni PGM.
Naombeni ushauri wenu wanajamvi.

Kulikoni uandishi huo mjukuu.Jamai wanaume wa JF
Njoo inboxKulikoni uandishi huo mjukuu.
Ila vipi mrejesho Wa ndugu yetu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Njoo inbox