Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
Wakuu ule msemo wa usikosee kozi ya kusoma unanitesa nipo njia panda je kozi ipi nzuri ya afya ya kusoma kati ya hizi :-radiology, pharmacy au medical lab
1 Programs in Cluster One
Students in cluster one must be admitted in the following programs:-
i. Health and Allied Sciences
Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational...
Okay ,, nimejaribu kufuatilia ajira za walimu zilizotoka hivi karibuni na nimegundua kuna uwitaji mkubwa sana wa walimu wa commerce kwa ajili ya kufundisha kidato cha kwanza hadi cha nne
Ndiyo...
Habari za kazi wanajamvi.
Samahani, miongoni mwa kozi nne alizopata bwana mdogo katika maombi ya vyuo vikuu kwa msimu wa masomo wa 2022/2023 ni pamoja na kozi tajwa hapo juu (Bachelor in Security...
Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo...
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical...
Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna...
Habarini wana jamii
Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia...
Niliomba nafasi ya masomo chuo kikuu huria mwaka uliopita kwa nafasi ya masters na Mungu alivyo mwema nimepata nafasi.
Tatizo nimekosa orientation nimekosa pia uwezo wa kujiunga kwa Sasa kutokana...
Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza...
Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda...
Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu.
Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply?
Namaanisha uzuri wa...
Tanzania ina vyuo vikuu vichache mfano Udsm, Must , SAUT, KAMPALA, UDOM n. K
College ziko ndani ya chuo mfano udsm ina CONAS ,CoECIT , COET,Vyuo vinaweza kuwa na campas udsm ina campus ya DUCE...
SHULE ya awali ni kituo cha kuwalelea au kuwasomesha watoto wadogo ambao hawajaanza elimu ya msingi (darasa la kwanza)na kwa sasa serikali imeagiza kwa shule zote za msingi zinazomilikiwa na...
nitoe kwanz pongez kwa wote waliochaguliwa uclas home of construction its a nice chuo aisee kikikuandaa thabiti n ushindani wa ajira lakini kikumbwa ni kwamba chuo kinatoa kozi ambazo ni rahisi...
Kichwa cha habari chahusika.
-Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kufunga mahesabu kitaalam,anayejua kutumia accounting packages na kila kinachohusiana na uhasibu kimatendo ( practically)
-Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.