jimmy boaz
New Member
- Jun 12, 2013
- 1
- 1
Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod
Weka screenshots hapa tuoneHabari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod
Hakuna hiyo option mwaka huu, hivyo Unatuma kwa postaHabari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod
Hiyo option ipo.Hakuna hiyo option mwaka huu, hivyo Unatuma kwa posta