msaada: ana degree ya BAED anataka kufanya masters ya Sociology

josewatano

Member
Sep 20, 2011
61
95
Habari zenu wadau, mdau ana degree ya kwanza ya Bachelor of art with Education, specilized in linguistics and kiswahili, kaishafanya kazi mwaka wa tano huu sasa anataka kwenda kufanya masters ya sociology, je atakuwa kachanganya mafile au hakuna tatizo kitaluma

Karibuni kwa ushauri.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,082
2,000
Miye nadhani hakuna tatizo cause uyo mtu ni mwalimu kwaiyo akienda uko kwenye sociology itamfaa zaida maana ataendelea kudeal na jamii ingawa kwenyw uwalimu alikuwa anafundisha ila uko anaenda simamia na kuelekeza nadhani haina tatizo

Pengine tusubilie wajuzi wa mambo watuambie kitaluuma imeekaaje hii
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,000
2,000
Kimsingi hakuna shida, lakini ajiridhishe chuo anachotaka kusoma kina ruhusu mtu mwenye education kwenda kusoma sociology. Vyuo vingine haviruhusu kutegemea masomo aliyo chukua huko education.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,274
2,000
Huo niuoga wa maisha.....unasoma masters ya non professional kozi ili upate nini? Watoto wa ma peasants nakujaza vyeti kabatini...mtapata tabu sana.....tafuta pesa pambana acha hizo fikra za kupoteza mtaji una basic degree ya kwanza kama ni kutomboa kimaisha yatosha hiyo.
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,381

Nani kakuambia kuwa sociology sio professional course?probably kama umesoma utakuwa una b.degree, na muajiriwa tena wa level ya chini sana ambaye hufahamu lolote...kwa sasa hujui namna sociologists wanavyohitajika kwenye sector mbali mbali, kwanza hamna mradi duniani unafanyika/utakaofanyika bila kuhusisha hawa watu

Kwa upande wangu mimi hawa watu ninafanya nao kazi sana, ninaelewa soko lao na uhitaji wa hawa wataalamu, its sad tunapowahitaji tunaishia kwenda kuchukua walimu wa vyuo vikuu kutufanyia study za EIA, RAP etc.

Aende akasome
 
Bora umeonge Uhalisia maana ni aibu msomi wa degree moja kusikia mwenzako anataka kwenda kusoma unaanza kejeli ili hali wewe msomi na unajua nini maana ya elimu, ajabu unaweza kukuta kijana anayeclash mwenzake ni below 30 yrs old sasa unawaza uyu kijana mdogo hivi kakata tamaa je akifikisha miaka arobaini si atajinyonga.
 
Sisyphus

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
1,947
2,000
Huo niuoga wa maisha.....unasoma masters ya non professional kozi ili upate nini? Watoto wa ma peasants nakujaza vyeti kabatini...mtapata tabu sana.....tafuta pesa pambana acha hizo fikra za kupoteza mtaji una basic degree ya kwanza kama ni kutomboa kimaisha yatosha hiyo.
Acha wivu kila MTU ana mipango yake ....kwako haikufai waache wenzako wakasome
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom