Education for self employment

Education for self employment

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Salamu wadau wa jukwaa adhimu LA elimu hapa jf hivi kwanini elimu yetu haimuwezeshi MTU kujiajiri wengi tulidhani kwenda masomo ya sayansi ndo njia rahisi kuajiliwa lakini wengi wanaishia kuwa walimu wa tuition centre .kama mdau toa suluhu elimu yetu inakosea wapi?
 
Elimu yetu haifundishi mtu kujiajiri ila elimu yetu inamfundisha mtu kuajiriwa.
Pia muundo wa Serikali haumpi nafasi mtu kuweza kujiajiri kutoka na makato mengi na process nyingi mpaka kuwezakufungua kijimradi chako jambo ambalo linapelekea mtu awe na Mtaji mkubwa. Kitu ambacho wengi hufeli apo.
 
Una mfano dhahiri wa nchi ambayo elimu yake inafundishwa kujiajiri?

Muundo upi ambao unampa mtu nafasi ya kujiajiri?

Naomba mfano wa process chache za nchi japo moja tu.
 
Mpaka sasa hii elimu haijulikani wap inaelekea,,,,,,
 
Back
Top Bottom