Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Nawasilisha
Mheshimiwa hii kitu unaongea kiukwerii au just a jokes tuuu[emoji1] [emoji1]Ni heshima kufanya kazi na wale walio onana tayari na Mungu.
Ukifa unajikuta una washkaji kibao mbinguni uliowahandle Duniani wakati wa departure yao yaani unakuta wamekuandalia na makazi kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bugando nakuja!
Kwa hiyo unadhani ni jokes? Utamaduni wetu juu ya kifo ni mbaya sana...yaani mtu m akifa tu eti watu wanamuogopa zaidi ya shetani.Mheshimiwa hii kitu unaongea kiukwerii au just a jokes tuuu[emoji1] [emoji1]
Ulishawai pitia haya mafunzo kiongozi..?Kwa hiyo unadhani ni jokes? Utamaduni wetu juu ya kifo ni mbaya sana...yaani mtu m akifa tu eti watu wanamuogopa zaidi ya shetani.
C'moon wale ni watu sawa na wa humu JF tu. Nataka nikawahudumie kidugu.
Sijawahi lakini si wamesema wanatoa mafunzo? Ndio nataka kwenda kujifunza kwa Mara ya kwanza kutoka kwao.Ulishawai pitia haya mafunzo kiongozi..?
Ni heshima kufanya kazi na wale walio onana tayari na Mungu.
Ukifa unajikuta una washkaji kibao mbinguni uliowahandle Duniani wakati wa departure yao yaani unakuta wamekuandalia na makazi kabisa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bugando nakuja!
Unahisi ni changamoto gan utakumbana nayo huko?Sijawahi lakini si wamesema wanatoa mafunzo? Ndio nataka kwenda kujifunza kwa Mara ya kwanza kutoka kwao.
I'm gonna have some funny.
How ebu fafanua zaid bossMpya mpya. Tehe tehe. Vijana changamkieni fursa hiyo.
Ni moja ya kazi zenye heshima na uhakika Ulimwengu mzima. Ukipata mafunzo yako unaweza hata kufungua funeral home na kupiga hela on the side huku ukiwa na kazi yako katika hospital.
Unataka nifafanue nini cha zaidi kiongozi !?How ebu fafanua zaid boss
Kvp boss wangu ebu tupe data za kutoshaWengi huwa hawako vzr kichwani