Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Vyuo vya kati vya afya vinavyosimamiwa na NACTVET, hususan baadhi ya vyuo binafsi, vinapaswa kuweka mkazo zaidi katika ubora wa elimu na mafunzo ya wataalamu wa afya kuliko maslahi ya kibiashara...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Habari wadau wa JF, Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa? Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni; Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile...
46 Reactions
209 Replies
2K Views
Wadau habari za leo, naomba mwenye upeo wa kuelewa zaidi anipe ujasiri wa kuendelea na adhma yangu ya kwenda kusoma kozi tajwa hapo juu. Mimi nipo kwenye system kama CO sasa mwaka huu wa masomo...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wadau; Kuna Mdogo wangu alichaguliwa hii course "LOCOMOTIVE ENGINEERING IN DIESEL ELECTRICAL" Diploma Chuo cha reli hapo Morogoro. Naomba mwenye uzoefu au taarifa muhimu na hii course...
1 Reactions
4 Replies
94 Views
Habari wana JF Nimeikuta List hii somewhere, nafikiri ni useful kidogo kwa wale wenye watoto wanaotaka kuwapeleka A-Level. Jina la shule, mkoa uliopo na COMBINATIONS zake. SHULE ZA A-LEVEL NA...
2 Reactions
10 Replies
177K Views
Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo. Hata hivyo, mwaka huu chuo...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi...
2 Reactions
0 Replies
108 Views
Anonymous
Kero yangu inahusu shule ya sekondari Mbagala Kuu iliyopo Manispaa ya Temeke. Kila mara shule hii imekuwa ikiwataka wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya mitihani ya majaribio. Kwa mfano, wazazi...
0 Reactions
7 Replies
69 Views
Kozi ya Bachelor of Computer Science (CS) inalenga msingi wa kinadharia wa kompyuta: algorithms, miundo ya data (data structures), hisabati, mifumo endeshi na akili bandia. Bachelor of Information...
2 Reactions
0 Replies
69 Views
‎hii itakuwa thread ya kupost na kujifunza vitu mbali mbali kuhusu sayansi na saikolojia kuhusu mwadamu, viumbe wengine, dunia na ulimwengu kwa ujumla, hivyo kama una fact, qoutes au chochote cha...
23 Reactions
190 Replies
2K Views
Anonymous
Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kampasi ya kivukoni, kigamboni haturejeshewi pesa zetu (refund) za ada zilizidi baada ya kupata mkopo kutoka HESLB na hatujui lini tutarejeshewa. Baadhi ya...
3 Reactions
5 Replies
329 Views
University of the people tembelea hapo pata degree yako kutoka marekani bure kabsa Kuna ya business administration miaka 3, computer science miaka 3 na health science hii ni miaka 4. Pia Kuna...
26 Reactions
170 Replies
9K Views
Anonymous
Nimesoma katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na nilihitimu miaka mitatu iliyopita katika programu ya Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Mwanzoni tulielezwa...
2 Reactions
6 Replies
292 Views
Kila mwaka... Maelfu ya wanafunzi wanahitimu. Wote wana... Degree CV Coursework inayofanana ______ Sasa waza...Wewe Ni recruiter umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume Una CV 500 mezani Una...
2 Reactions
5 Replies
123 Views
Wakuu, Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Kumekuwa na wimbi la MATOKEO mazuri sana kwa shule za PRIVATE, lakini ukweli ulio wazi, wanafunzi hao wengi wao matokeo wanayopata sio yao kwa sababu zifuatazo; Wanafunzi wanapangwa katika hali...
1 Reactions
3 Replies
122 Views
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums kwa kutupa nafasi ya kuwasilisha changamoto iliyokuwa inawakabili wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza, kuhusu matokeo...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa shule wa shule ya sekondari Dunda iliyopo mjini Bagamoyo.Ila changamoto kubwa uliyonayo mbeleni katika uongozi wa shule ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania. Kuna hali inayodaiwa...
1 Reactions
0 Replies
50 Views
Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna...
0 Reactions
5 Replies
48 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…