Ushauri; Nataka nikasome Bachelor of Information Studies

Ushauri; Nataka nikasome Bachelor of Information Studies

Joined
Jul 28, 2026
Posts
28
Reaction score
60
Habari wenzangu 🙏
Naomba ushauri wenu.

Nataka nikasome Bachelor of Information Studies na mwezi wa 10 naanza.

Je yupo aliyesoma kozi hii? Experience yake vipi?
1. Mnaajiriwa wapi kwa sasa?
2. Fursa za kazi zikoje soko la ajira?
3. Kozi inasaidiaje kwenye maendeleo ya kazi na biashara?

Asante sana kwa mchango wenu 🙏
 
Back
Top Bottom