Nataka kulipia registration fee SUA napataje "payment reference number"?

Nataka kulipia registration fee SUA napataje "payment reference number"?

Joined
Jul 23, 2018
Posts
41
Reaction score
30
Wakuu naomba kwa wanaojua taratibu za kulipia online application kwa anayetaka kulipia hii fees ya kujisajili chuon SUA anisaidie process kwani nimejaza kwenye ile portal yao lakini nikishafika pale kwenye register nakwama naambiwa nilipe kwanza. Nikitaka kulipa kwa mpesa natakiwa kuwa na payment reference number. Sasa namna ya kuipata hii number imeniwia mtihani. Naombeni msaada.
 
Login utakuta ref.no.ya kuripia
 
Login utakuta ref.no.ya kuripia
ku-login kwenyewe haiwezekani kisaa unaambiwa wrong password wakati huo wao wem=nyewe m=ndo wamekutumia .SUA TOENI TAARIFA VIZURI KWA WANANCHI MAANA HATUWEZI KU-APPLY
 
kwa ninavyo elewa system ya sua ukisha register na ukijarbu kulogin kabla haijafunguka utapewa no.ya malpo na huonekana juu kdogo na ksanduku cha password.hivyo baada ya kulipia ndipo itafunguka utakapo login .
labda subr waje wajuz zaidi.
 
kwa ninavyo elewa system ya sua ukisha register na ukijarbu kulogin kabla haijafunguka utapewa no.ya malpo na huonekana juu kdogo na ksanduku cha password.hivyo baada ya kulipia ndipo itafunguka utakapo lo Mbona bado wanaandika invailed password and username
 
Back
Top Bottom