News Alert: Naomba kusaidiwa hili.

Jul 26, 2018
8
3
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?
 
Inawezekana kabisa ila wapaswa ufanye mchakato huo ndani ya wiki tatu toka mwaka mpya wa masomo uanze.
 
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?
Inawezekana endapo tu utawasili chuo nakuanza mchakato hata hivo huwa wanasemaga kama kuna ayehitaji kubadili
 
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?

Uwezekano huo upo kwa maana ya kwamba ni jambo ambalo lipo na limewekewa utaratibu kabisa wa hatua za kufuata ili kulikamilisha. Lakini sio lazima ukubaliwe/ufanikiwe, bado ni 50/50.

Swali langu kwako ni hili, bado huu ni wakati wa applications, ni kwanini usipate muda mzuri wa kutafakari na kupata ushauri ili uwe na kozi hata mbili au tatu ambazo kati ya hizo ukichaguliwa yoyote uwe tayari kuisoma na kuepusha michakato ya kuhamahama yenye usumbufu mwingi ?
 
Kama walivyosema wengine inawezekana lakini wenyewe UDSM husema ukitaka kubadilisha toka program A kwenda B, kwanza lazima B iwe na nafasi, pili ufaulu wako lazima uendano na CUT-OFF point ya B kwa mfano kama ufaulu wa mtu wa mwisho ni point 10 za TCU, lazima na wewe usipungue hapo. Hua wanatoa muda wa kuomba kuhama inabidi ulifuatulie kwa ukaribu mwanzoni wa semester.
 
Uwezekano huo upo kwa maana ya kwamba ni jambo ambalo lipo na limewekewa utaratibu kabisa wa hatua za kufuata ili kulikamilisha. Lakini sio lazima ukubaliwe/ufanikiwe, bado ni 50/50.

Swali langu kwako ni hili, bado huu ni wakati wa applications, ni kwanini usipate muda mzuri wa kutafakari na kupata ushauri ili uwe na kozi hata mbili au tatu ambazo kati ya hizo ukichaguliwa yoyote uwe tayari kuisoma na kuepusha michakato ya kuhamahama yenye usumbufu mwingi ?

Ahsante mkuu mekuelewa
 
Back
Top Bottom