Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
Ndio wandugu, kwa yeyote anayetatizika na suala hili zito la kufanya application za vyuo mbalimbali nipo hapa kwa msaada zaidi. Kwa wale mliopo Dar es saalm tunaweza kuonana moja kwa moja tukafanya tukamaliza bila wasiwasi. Na wale mliopo mikoani hakikisha unatumia watsapp kabla hujanitafuta ili iwe rahisi kukuonyesha progress zako kama tulivyofanya mwaka jana.
Kwa ushauri ni vyema ukaja ili tuapply kupitia Computer maana kwa simu usumbufu ni mkubwa kwa vyuo kama udsm, Sua au Udom.
Napatikana Temeke, tuwasiliane 0657 893 565.
.......UPDATE....
Wandugu kwa wale mnaouona huu uzi mitandao mbalimbali naomba mnipigie tu simu kwa njia ya kawaida maana matatizo ni mengi na maswali yamekuwa mengi. Tayari nimeunda group la watsapp ili iwe rahishi kupeana taarifa.
Nasisitiza tena kwa wale mliopo Dar na mikoani msinitafute sana watsapp nakuwa busy na matatizo yaliyopo inakuwa ngumu kuwasaidia, nipigie simu au tuma texts za kawaida.
ZINGATIA: KUHUSU KUTOA MATOKEO YA RESETTERS, RPL, MIKOPO YA PESA ELIMU YA JUU NA MENGINE MFANO WA HAYO MIE SIHUSIKI JAMANII!!
O657893565 NJOO NIKUSAIDIE!!!!!