HKL; Kozi gani ya kusomea chuo.

HKL; Kozi gani ya kusomea chuo.

ElPuto Jefe

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
5,285
Reaction score
19,471
Habari wakuu?

Mtu mwenye Div 2 ya point 12 kwa comb ya HKL anaweza kusomea kozi zipi chuo..
 
Hivi ni lazima ku apply vyuo vitatu ? Nataka ku apply viwili , UDOM na UDSM
 
Sio lazima ila unashauliwa tu kuapply vingi ili kujiwekea uhakika km kuna ushindani Mimi 2017/2018 niliomba kimoja tu UDOM mana nilijiamini na ufahulu wangu na nikapata so km unajiamini apply kimoja hata hivyo viwili ila km ufahulu wa chenga jaribu vingi kutokana na vyuo unavyoomba vinaushindani sana
 
Habari wakuu?

Mtu mwenye Div 2 ya point 12 kwa comb ya HKL anaweza kusomea kozi zipi chuo..
chuoni unaweza somea kitu chochote tu kulingana na qualification ya icho kitu kinavyohitaji
 
Back
Top Bottom