Hapana chezea ardhi na kozi za kigumu

Hapana chezea ardhi na kozi za kigumu

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,291
Reaction score
799
nitoe kwanz pongez kwa wote waliochaguliwa uclas home of construction its a nice chuo aisee kikikuandaa thabiti n ushindani wa ajira lakini kikumbwa ni kwamba chuo kinatoa kozi ambazo ni rahisi kujiajiri eti mfano kozi kama builging economics, archecture environmental engeneering,geomatics na civil engeneering . pili kwa wale waliochaguliwa building economics niseme tu mmebahatika sana kuchaguliwa kozi nzuri sana kwani kwa tanzania inapatikana hapo uclas tu n kwa afrika mashariki na kati inapatikana chuo cha nairobi tu hvyo swala la ajira sio tatizo kabisa kwenu mfano makampuni yot ya ujenzi iwe barabara iwe majengo iwe madaraja iwe migodi ndugu zangu mtahusika aiseeee pia serikali pia hata baki nyuma kuwaajiri ikiwa ni wizara ya ujenzi n ile ya ardhi na makazi kwa ujumla kozi zote ni nzuri na kikubwa ni rahisi kujiajiri kuliko kozi nyinge hapa sitaki maneno wa political science n sociology
 
me nipo building economics - quantity surveyor by proffesion! So tukutane pale mkuu mzee wa kismati
 
nitoe kwanz pongez kwa wote waliochaguliwa uclas home of construction its a nice chuo aisee kikikuandaa thabiti n ushindani wa ajira lakini kikumbwa ni kwamba chuo kinatoa kozi ambazo ni rahisi kujiajiri eti mfano kozi kama builging economics, archecture environmental engeneering,geomatics na civil engeneering . pili kwa wale waliochaguliwa building economics niseme tu mmebahatika sana kuchaguliwa kozi nzuri sana kwani kwa tanzania inapatikana hapo uclas tu n kwa afrika mashariki na kati inapatikana chuo cha nairobi tu hvyo swala la ajira sio tatizo kabisa kwenu mfano makampuni yot ya ujenzi iwe barabara iwe majengo iwe madaraja iwe migodi ndugu zangu mtahusika aiseeee pia serikali pia hata baki nyuma kuwaajiri ikiwa ni wizara ya ujenzi n ile ya ardhi na makazi kwa ujumla kozi zote ni nzuri na kikubwa ni rahisi kujiajiri kuliko kozi nyinge hapa sitaki maneno wa political science n sociology

likee .! Mwana aru mwenzangu
 
asante kaka. hivi uko mwaka wangapi, nikija nikutafute unipe madesa?
Una uhakika building economics inapitaka Ardhi na Nairobi pekee, kwa east africa?
 
kwa tanzania ni ardhi university peke yake na kwa kenya ni university of nairobi. But uganda hakuna hio course ! So kijana tukutane pale aruuuu..!
 
Vijana wengi tu walio hitimu Ardhi university wapo huku mitaani wanafanya shughuli zingine kabisa nje ya taaluma zao; hii ina maanisha suala la ajira limewaathiri mpaka wao.

Kama ilivyo ada, ni kawaida sana kwa vijana wa mwaka wa kwanza kuamua kudanganyana kuhusu taaluma. Ila niwapeni angalizo tu; ni vyema mtumie muda wenu humu JF kuuliza ili mjue kuliko huu UPUUZI wa kuendelea kupotoshana.

Kumbuka: JF is the HOME of Great Thinkers, umepata fursa ya kujifunza, ULIZA.
 
Safi sana wakuu wangu, na respect sana elimu ya ardhi. Kuna siku nilikuja pale nikakuta mademu wagumu hao kila mda wako na scientific calculator zao wanasolve tu. Ila hata hivo wakuu tusaidiane kama sisi tuliomaliza vyuo tukipata mashavu basi michakato ya ma ramani na vitu vinavyohusiana na ujenzi mtufanyie kisela au vp?
 
wewe huna jipyaaa...!
 
hahaaahaaaa.watoto bana yaani kozi hizo ndo mnasema ngumu...haya bana ...
 
Safi sana wakuu wangu, na respect sana elimu ya ardhi. Kuna siku nilikuja pale nikakuta mademu wagumu hao kila mda wako na scientific calculator zao wanasolve tu. Ila hata hivo wakuu tusaidiane kama sisi tuliomaliza vyuo tukipata mashavu basi michakato ya ma ramani na vitu vinavyohusiana na ujenzi mtufanyie kisela au vp?

pamoja sanaa mkuu.! Tena hio ni sekta yangu ulioigusaa building economics(quantity surveyor) kuhusu ramani na ukadiriaji wa majenzi ndo mahala panguu.! So tutafanya kiselaa
 
Vijana wengi tu walio hitimu Ardhi university wapo huku mitaani wanafanya shughuli zingine kabisa nje ya taaluma zao; hii ina maanisha suala la ajira limewaathiri mpaka wao.

Kama ilivyo ada, ni kawaida sana kwa vijana wa mwaka wa kwanza kuamua kudanganyana kuhusu taaluma. Ila niwapeni angalizo tu; ni vyema mtumie muda wenu humu JF kuuliza ili mjue kuliko huu UPUUZI wa kuendelea kupotoshana.

Kumbuka: JF is the HOME of Great Thinkers, umepata fursa ya kujifunza, ULIZA.

Eti wanasema hawakuamini mpaka uwape evidence
 
Sipo humu kubishana na first year watarajiwa. Nipo humu kuelimisha first year watarajiwa. Kama unataka kujifunza, ULIZA.

so mkuu wewe umesoma course ipi kwanzaa?
Note; cjakuuliza umesoma chuo gan.!
 
Vijana bwana!

Kwa kifupi tu, mimi ni mhitimu wa ARU mwaka 2011, kwa sasa ni mwajiriwa wa moja ya mifuko ya kijamii nchini, kwenye kurugenzi ya UWEKEZAJI (mimi nipo kitengo cha uwekezaji kwenye majengo). Kipindi tupo chuo, vijana wengi wa SCEM (ikiwemo hao BE) walikuwa wakipata field kirahisi sana (kwa kuwa makampuni mengi yalikuwa na deal za ujenzi), ila kwa sasa WACHINA wameteka soko na ubaya ni kwamba wachina wanalipa vibaya (kazi unapiga ila mshahara laki 3), hali hii imepelekea vijana wengi kupiga mishe zao mtaani mbali na yale mambo ya kwenye taaluma zao. Binafsi kwenye kurugenzi yetu tuna Quantity Surveyor (QS) mmoja tu, ila kwa sisi tulio soma SRES tupo wanne (4). Kazi za kukadilia gharama ya majenzi kwa sasa ni utata mtupu kwenye ajira, madogo acheni kudanganyana.
 
Nimesoma Real estate (finance and investment). Huna sababu ya kuuliza chuo anyway, maana hapa nchini ina tolewa na chuo kimoja tu.
 
Sipo humu kubishana na first year watarajiwa. Nipo humu kuelimisha first year watarajiwa. Kama unataka kujifunza, ULIZA.

mkuu basi acha mimi nikuulize upo mwaka wa ngapi...? chuo gani...? faculty gani..? ushawaelimisha first year wangapi mpaka sasa...? me nauliza tu ambavyo umetuagiza.
 
Vijana bwana!

Kwa kifupi tu, mimi ni mhitimu wa ARU mwaka 2011, kwa sasa ni mwajiriwa wa moja ya mifuko ya kijamii nchini, kwenye kurugenzi ya UWEKEZAJI (mimi nipo kitengo cha uwekezaji kwenye majengo). Kipindi tupo chuo, vijana wengi wa SCEM (ikiwemo hao BE) walikuwa wakipata field kirahisi sana (kwa kuwa makampuni mengi yalikuwa na deal za ujenzi), ila kwa sasa WACHINA wameteka soko na ubaya ni kwamba wachina wanalipa vibaya (kazi unapiga ila mshahara laki 3), hali hii imepelekea vijana wengi kupiga mishe zao mtaani mbali na yale mambo ya kwenye taaluma zao. Binafsi kwenye kurugenzi yetu tuna Quantity Surveyor (QS) mmoja tu, ila kwa sisi tulio soma SRES tupo wanne (4). Kazi za kukadilia gharama ya majenzi kwa sasa ni utata mtupu kwenye ajira, madogo acheni kudanganyana.

sasa mshaharaa wa quantity surveyor utafananishaa na huo wa real estate! Alafu co wote wanaotaka kuajiriwaa ndugu wengine wana uwezo wa kujiajiri.! So ndugu uciwe na mawazo hasi kwa wenzako..!
NB; ARDHI ULIHAMIA NINI COZ KUNA THREAD MOJA HUKO NYUMA ULICHANGIA KWAMBA UMESOMA UDSM., NASHINDWA KUI-ATTACH HAPA COZ NATUMIA CIMU.! SO MKUU FAFANUA KIDOGO..! MWANA ARU MWENZANGU
 
pamoja sanaa mkuu.! Tena hio ni sekta yangu ulioigusaa building economics(quantity surveyor) kuhusu ramani na ukadiriaji wa majenzi ndo mahala panguu.! So tutafanya kiselaa

Basi burudani mkuu.
 
Back
Top Bottom