Jumatatu yangu leo nikasema nisettle nifanye coding ya data za research kwa kutumia SPSS...sasa ile wakati najaza nikafika kwenye kipengele cha Measure kama unavyoona kwenye picha hapo aisee!"...
All I know is that " Huwezi kujua kama hujui kitu mpaka utakapokutana na watu wengine waliopo kwenye field yako wakashare some tips ambazo wewe unajikuta huzijui ndio utajua kuwa aah! kumbe hiki...
Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA.
Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini.
1...
Mimi kama mdau wa elimu, nimependezwa na kufurahishwa na haya matokeo ya juu kabisa na ya ajabu iliyopata shule hii.
Walikuwa na wanafunzi 70
Wanafunzi wote 70 wamepata div. One
Kupata one...
Habari wakuu,
Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi...
Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini...
Five IST Students have been earned places at top US universities after completing their International Baccalaureate Diploma in May this year.The students Alex Serikali, Charles Mbatia, Evelyn...
In this article we are going to discuss about autocratic leadership style. We will cover different angles including the meaning (definition), characteristics, advantages and disadvantages of...
Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini...
Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na...
Habari wakuu,
Kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu, au unajiandaa kuandika research proposal, dissertation au thesis, kuna swali moja ambalo wengi huwa wanajiuliza lakini majibu yake...
In this article we are going to discuss about one of effective leadership styles used by managers and leaders to lead their teams known as laissez-faire leadership style. Whereby, we will look on...
Ukihudhuria mahafali yao vyuo tajwa hapo juu; UDSM, IFM, SUA, MZUMBE si rahisi kusikia wanatangaza wanafunzi wenye first class wengi, utakuta wanne au watano hawazidi kumi mara nyingi.
Lakini...
Wakuu Mimi Nina mtoto wangu anakaribia kuanza Shule...Nilikuwa napendelea asome Shule ya binafsi ya msingi yenye matumizi ya lugha ya kiswahili, maana naona Shule nyingi ni lugha ya kingeleza..je...
Habari za asubuhi wakuu
I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu
Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili...
Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo.
Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa
Ila kwa leo tuangalie ubora wa...
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi huu. Kwa tunaotarajia kuomba INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM) tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Chuo hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.