Bachelor of Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)

Katitima

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
627
117
Habari za kazi wanajamvi.

Samahani, miongoni mwa kozi nne alizopata bwana mdogo katika maombi ya vyuo vikuu kwa msimu wa masomo wa 2022/2023 ni pamoja na kozi tajwa hapo juu (Bachelor in Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)
Binafsi nimetamani kuijua kozi hii kwa undani kwa sababu dogo ni kama amekuwa interested nayo sana.

Tafadhali kama kuna yeyote anaifahamu vizuri naomba japo maelezo na maelekezo kidogo na expectations zake baada ya kuhitimu kwa namna ya kujiajiri na kuajiriwa, ushindani katika soko ukoje na mengineyo ya ziada.(kama yapo)

Natanguliza shukrani zangu za dhati sana.
 
Najua hio kozi IAA wameshirikiana Na JW(Kama nakumbuka vzr nilimsikia mkuu wa Chuo Cha Monduli akiongea TBC siku 1 khs Jambo hilo),Ila sijui kozi Ina deal na Kitu gani.
 
Soma hapa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Habari za kazi wanajamvi.

Samahani, miongoni mwa kozi nne alizopata bwana mdogo katika maombi ya vyuo vikuu kwa msimu wa masomo wa 2022/2023 ni pamoja na kozi tajwa hapo juu (Bachelor of Security and Strategic Studies at Institute of Accountancy Arusha (IAA)
Binafsi nimetamani kuijua kozi hii kwa undani kwa sababu dogo ni kama amekuwa interested nayo sana.

Tafadhali kama kuna yeyote anaifahamu vizuri naomba japo maelezo na maelekezo kidogo na expectations zake baada ya kuhitimu kwa namna ya kujiajiri na kuajiriwa, ushindani katika soko ukoje na mengineyo ya ziada.(kama yapo)

Natanguliza shukrani zangu za dhati sana.
Hiyo kozi nakumbuka ilikua inatolewa na NDC peke yake kwa hapa bongo .
 
Soma hapa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Asante, angalau napata pa kuanzia japo bado natamani kujua application yake huku Duniani
 
O
Hiyo kozi nakumbuka ilikua inatolewa na NDC peke yake kwa hapa bongo .
Ok,hawa jamaa walikuwa/wanatoa hata kwa raia pia? au ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya maafisa wao?
 
Hapo ukimaliza jiandae tu kuingia kwenye vile vyombo vile bila hivyo utajuta
 
Back
Top Bottom