Tamisemi wametangaza majina ya wanafunzi watakaojiunga na elimu ya sekondari kidatu cha tano kwa awamu ya pili 2018/19.
Tembelea www.tamisemi.go.tz
Kupakua majina hayo.
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom. naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana.
wote ambao hawajachaguiliwa kwa awamu ya kwanza(UDSM) na hawapo kwenye multiple selected applicants
wanashauriwa kuomba kwa mara ya pili kuanzia tarehe
6 hadi 10 Septemba, 2018
kupitia tovuti ya...
Wakuu habari zenu.
Nina mdogo wangu aliemaliza kidato cha sita, mchepuo wa PCB. Nakupata alama zifuatazo
Physics E
Chemistry D
Biology E
Bam E
Je kuna mtu wa mfano wake aliomba akachaguliwa?
Je...
Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu...
Habari zinazoenea kwa kasi ni kwamba mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Bulyahilu ya wilayani Buchosa Mwanza, pamoja na walimu watatu na mgambo wameiba mtihani wa Kiswahili, wakaufanya na kisha...
Hi, Looking for Tanzanian, living in Poland any one in cities of warsaw, Krakóu, wrockław..polna ideal to any of the rest too. Just to share a familiar environment in those cities and life in...
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/12/2018 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40%. Hata hivyo kwa kipindi cha miezi mitatu yaani September, October na November waalimu, na watumishi wa...
Msaada jamani naitaji kuhama Chuo ..nataka nitike Chuo xx.nienche Chuo cha afya kilichopo Moro dar. Ila kiwe cha afya Na kiwe Na coz ya pharmacy ngaz ya diploma ..Na private ..naombeni msaada...
Huu uzi special kwa wale waliochaguliwa UDOM kwa mwaka 2018/2019 wa masomo...natumaini wazoefu watakuwa mstari wa mbele katika kuchangia mawili matatu...KARIBUN SANA UDOM, KARIBUN SANA DODOMA
Kwa wale tulio Apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea; make tangia jana kila ninapo ingiza CODE zangu ili ni Confirm ngoma ina search tuu bila majibu, namba za simu nazo hazipatikani.
Kwa wale tulio apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea mpaka sasa, Nashindwa kuelewa tangia jana Kila ninapojaribu ku conferm CODE zangu ngoma ina search tuu bila majibu
Ni kweli sifa za kujiunga na clinical medicine zimetelemshwa kiasi hiki? Tunapata matabibu kutokana na walioshindwa Form 4? Just look, D ni failure kwa kozi kama hiyo!
MASASI CLINICAL OFFICERS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.