Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 750
Habari zinazoenea kwa kasi ni kwamba mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Bulyahilu ya wilayani Buchosa Mwanza, pamoja na walimu watatu na mgambo wameiba mtihani wa Kiswahili, wakaufanya na kisha kuingiza majibu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa mwanza Jonathani Shana amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.