Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mdogo wangu amechaguliwa Udsm kozi ya political science and public administration Anauliza vip ajira zake?
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu. Napenda kujua sifa na vigezo vya kupata fully funded scholarship nchini china BACHELOR DEGREE. Itapendeza kama nitapata maelezo ya ziada pamoja na ushauri...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana JF! Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Tcu wameongeza muda wa kuthibitisha pitia hili tangazo
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu nina rafiki yangu alichagua vyuo vitatu lakini akabahatika kuchaguliwa chuo cha CBE Mwanza lakini hayuko tayari kabisa kwenda hicho chuo anataka kwenda SAUT Mwanza kwan ni moja ya...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Baadhi ya vyuo kama SUA,UDOM sasa hivi wanaweka majina ya usahili(interview) ya nafasi mbali mbali za kazi kwenye tovuti(website) yao,tabia ya kutumia njia ya kupiga simu kuwa ndio njia pekee...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wasalam kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada kujua field kozi hii kujiajiri au kuajiriwa ( hasa kwa wahitimu na wenye uelewa wa kozi hii). pia nataka kujua kama ina tofauti na bachelor in...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari, Kwa wale waliochagulia UDSM without mulitiple selection, kuna mtu mwingine anaekutana na ujumbe "You have REJECTED this admission offer " ilihali hakukua na sehemu ya kukubali wala...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Jaman naskia SUA wameachia majna mengne mwenye nayo nayaomba
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanatuambie udahili unaendelea tusubiri wakat vyuo vingi vimeanza 2nd round
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TCU naomba sana mlifuatilie... Kuna suala limeibuka la baadhi ya vyuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi husika. Jambo hili litasababisha kutokea kwa multiple confirmation na hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
1 Reactions
35 Replies
13K Views
.
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Wanajamvi kutokana na destruri ya taasisi hii ya TCU kila hatua kuwa na changamoto zake ambazo kimsingi si za lazima sana lakini kila mara tunajikuta hukohuko tu. Sasa baada ya kuconfirm chaguo la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nilikutana na vijana wa kike na wakiume ambao Kiinglish kimelala. Zoezi la kwanza lilikuwa "Explain about Yourself'' Hapo ilikuwa ni patashika, maana kuna watu hadi tulitungiwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Polen na majukumu wakuu, kwa miaka ya nyuma kulikua na utoaji wa mkopo kwa diploma wanaosoma vyuo vya selikali , naomba kujua kwa ss ivi hili jambo bado lipo? Na kma lipo muombaji anafata...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Vyuo vingi hadi muda huu vishatoa majina yote ya wanaotakiwa kuthibitisha na ambao hawatakiwi kuthibitisha( waliochaguliwa chuo kimoja) KCMC na ninyi toeni majina yote basi ili watu wajue mbivu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wanaotaka tuachane kabisa na Kiingereza badala yake tujifunze kiswahili pekee. Hii inashangaza kwasababu viongozi hao hao wanapeleka watoto na wajukuu zao kwenye shule ambazo hazifundishi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom