Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

jamani naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote ambae alipata chuo udom bila kuambatanisha Cheti cha kuzaliwa raund ya kwanza msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama mwanafunzi amechaguliwa katika kozi fulani chuo kikuu na hajaridhika na hiyo kozi au hicho chuo kwa nini asiruhusiwe kukataa hiyo ofa halafu ajaribu kuomba tena vyuo vingine ili afikie...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari Wakuu Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha habari.nilikua naomba kujua utaratibu wa kusoma nje ya nchi. Nchi kama ujerumani Australia Norway na Canada. Kwa coarse kama Computer...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
IPI kati ya kozi hizo hapo juu inahitajika zaidi viwandani katika soko La sasa pia yenye wigo mpana kwenye other field katika ajira na kujiajiri Naomba kuwasilisha
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wanafunzi waliochaguliwa mwaka wa 1, First round hawajatooooa tuuuu jamani
0 Reactions
5 Replies
678 Views
Samahn naomba kujua waliochaguliwa muhas medical laboratory Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi nimechaguliwa vyuo viwili Chuo cha mwalim nyerere coz ni BACHELOR DEGREE IN ECONOMOCS OF DEVELOPMENT >>na Chuo cha Mipango dodoma coz ni BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANING AND MANAGEMENT...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo. 1:umeme wa magari...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
nimemaliza diploma ya elimu na nina GPA ya 3.6 lakini nashangaa kwenye account yangu wameniandikia you have been rejected from the system reason sijafikisha minimum entry wakat na GPA 3.6 sasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tafadhali fanya marekebisho ya mwisho. NACTE leo wanafunga dirisha la applications.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechaguliwa udom kwa kozi ya economics and statistics na pia ardhi university nmechaguliwa kozi ya building economics... Kwa anaejua ipi cozi yenye priority ya mkopo na ajira pia
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jaman aliyesoma diploma ya it anaweza akasoma bachelor ya account?
1 Reactions
7 Replies
931 Views
Wanafunzi wa shule ya msingi Mkapa wilayani Kalambo mkoani Rukwa walioshuhudia bayana Mwalimu na msimamizi wao wa mtihani kufa kwenye chumba cha mtihani watakuwa waliathirika kiakili. Hii inaweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa na Chuo zaidi ya kimoja
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu nimependa kushare nanyi hili jambo kuhusu chuo kikuu cha Dodoma.... Kwa walio multiple udom naona ni dhahiri wamekuwa confirmed automatically hata kama uliconfirm chuo kingine wao...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari zenu wasomi, najua ndo mnaparangana ku confirm vyuo now poleni mana wengi mtapata vyuo ambavyo hamkutaka, nilipitia izo boring stuff kama umechaguliwa S.t augustine mwanza karibu sana hata...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wanafunzi Muda wa ku- Confirm umeongezwa hadi J.pili saa 6:00 usiku ,tutakuwa makini kuangalia kama Muda uliongezwa utatosha au hautatosha ! Ili tuandike mapendekezo yetu ya muda zaidi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
habari zenu wakubwa Sisi tuliokosa kuchaguliwa awamu ya kwanza kujiunga vyuo vikuu tuomba kuuliza je awamu ya pili itaanza lini hili tuanze apply mapema
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF. Nimechaguliwa katika kozi ya bsc of agricultural economic and agrobusness lakini bado sijapata mwanga katika kozi hii hivyo naombeni ushauri wenu Pia kwa anae fahamu zaidi...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Back
Top Bottom