Nakujibu kama ifuatavyo kisha changanua upate jibu , kuna mwana science na engineer , daraja likianguka kosa linakua la engineer sio mwana science japokua mwana science anatoa elimu , kanuni , sheria na taratibu za laws za kI science ambazo zinakua applied katika kujenga daraja lakini mwana science sio mjenzi , hivyo elimu ya science ya biology , utakua unahusika na ugunduzi wa ki biolojia kufahamu kuendeleza na kuchunguza elimu ya ki biolojia utawapatia elimu hiyo madactari na wengine waitumie ndio kazi ya mwana science