Mojamoja01
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 357
- 660
Nn
Maana dah wamenigea kozi ya environment science kwl jmn nimesoma tangia la kwnz wananipangia koz za ajab
hawajakupangia mjomba umechagua mwenyewe nyinyi ndio wanafunzi mnaenda ku apply unakuta kuna option tisa za kuchagua unajaza zote , kama vile hauna uhakika na unachotaka kusoma alafu ukichaguliwa unaanza kulia na kutoa lawama nani alikujazia hiyo koz mpaka unatoa lawama za kijingaMaana dah wamenigea kozi ya environment science kwl jmn nimesoma tangia la kwnz wananipangia koz za ajab
Magufuli alifuta Mfumo wa Ku-apply kupitia TCU kwa madai kuwa TCU wanawapangia watu vyuo wasivyotaka, sasa kumbe wewe umeleta kesi mpya kuwa Vyuo vinapangia watu kozi wasizoomba? Pole ndugu, japo nna mashaka kama kweli SUA wamekupangia kozi ambayo wewe haukuomba!!!!Maana dah wamenigea kozi ya environment science kwl jmn nimesoma tangia la kwnz wananipangia koz za ajab