Je, nifanyaje baada ya kuchaguliwa SUA katika kozi nisiyoipenda

4life

Member
Aug 1, 2018
46
10
Habari zenu wanaJF.

Nimechaguliwa katika kozi ya bsc of agricultural economic and agrobusness lakini bado sijapata mwanga katika kozi hii hivyo naombeni ushauri wenu

Pia kwa anae fahamu zaidi kuhusu kozi za

Bsc Animal science,

Bsc Food science,

Bsc biotecnology and lab.science

waweza nishauri pia ipi ni nzuri.
 
Kwan kubadili kozi haita wezekana..!!
Enzi nasoma miaka michache iliyopita ilikuwa inawezekana. Sijui kwa sasa maana mambo yanabadilika na elimu ya TZ ina sintofahamu nyingi.

Ngoja mdogo wenzio wa chuo wakiamka watakujulisha.
 
Je nikitaka cancel admission yakwanza Ili nifanye second round Inawezekana?
Kama Inawezekana natumia njia gani?
Huwez ku cancel admission,, lasivyo unajtafutia kukosa chuo tu!!! Kwan wakt una apply hivyo vyuo hukua unavipenda mpka saiv unataka ku cancel?? Kuna wenzako wanalia uko hata code namba hawajapata mpka saiv,, ww umepata unataka ku cancel!!! Daah kwel maisha sio sawa
 
Habari zenu wanaJF.

Nimechaguliwa katika kozi ya bsc of agricultural economic and agrobusness lakini bado sijapata mwanga katika kozi hii hivyo naombeni ushauri wenu

Pia kwa anae fahamu zaidi kuhusu kozi za

Bsc Animal science,

Bsc Food science,

Bsc biotecnology and lab.science

waweza nishauri pia ipi ni nzuri.
Hiyo ni moja kati ya kozi nzuri sana ktk wakati husika na haijawahi shuka hadhi. Binafsi nakushauri uende ktk kozi hiyo hiyo, ila km utajisikia kubadili waweza fanya hivyo ukiwa chuoni.
 
ni,kozi..moja,nzuri..tuu,mkuu
ama,ukitaka..kabisa,kubadili,kozi..SUA,inawezekana..basi,ingia..BSc.Forestry..ndo,kila..kitu.
 
Nimechaguliwa katika kozi ya bsc of agricultural economic and agrobusness lakini bado sijapata mwanga katika kozi hii hivyo naombeni ushauri wenu
Nilikuwa JKT na mtu alienisaidia kufanya application ndio kakosea.
Nliyochaguliwa haipo moyoni nahisi ntaenda kufeli vibaya mno

PCB - Ufaulu div 1
Na moyoni mwako kuna kozi gani (unapenda kozi zipi)?
pharmacy, medical lab or MD

Hapa iko kazi, nafikiri namuelewa mleta mada kwa jinsi tunavyokwenda kisasa 2018 sioni mantiki ya mtu kusomea PCB na kuwa totured halafu aende Economics especially kama sio chaguo lake la rohoni na hana background nayo. [Haina maana akiisoma atashindwa lakini itahitaji msuli mkubwa zaidi kutoka kwake cf HGE, EGM. Ushauri wangu awahi SUA chuo kikifunguliwa aombe uhamisho wa program au ikibidi chuo. Atumie wakati huu kuangalia kipi kingine kinaweza kumfaa. Kwa SUA program ziko nyingi pamoja na-BVM, BSc Biotechnology and Laboratory Sciences (zenye muelekeo wa afya) au ahame chuo-aangalie ufaulu wake kwa program za afya PCB inatakiwa D,C,C (MD na Pharmacy) aingize ndani ushindani na ukweli kuwa wakati huo udahili umesha fungwa na uhamisho ni kama kuna nafasi. Pole na mambo ya JKT.
 
Kama hizo kozi zipo sua ukiwahi unabdl tu mbona au nenda sua ukaulize sa hivi ujue itakuwaje ikishindikana nenda TCU kwenye ofisi zao waambie ulikuwa jkt watakusaidia
 
Hapa iko kazi, nafikiri namuelewa mleta mada kwa jinsi tunavyokwenda kisasa 2018 sioni mantiki ya mtu kusomea PCB na kuwa totured halafu aende Economics especially kama sio chaguo lake la rohoni na hana background nayo. [Haina maana akiisoma atashindwa lakini itahitaji msuli mkubwa zaidi kutoka kwake cf HGE, EGM. Ushauri wangu awahi SUA chuo kikifunguliwa aombe uhamisho wa program au ikibidi chuo. Atumie wakati huu kuangalia kipi kingine kinaweza kumfaa. Kwa SUA program ziko nyingi pamoja na-BVM, BSc Biotechnology and Laboratory Sciences (zenye muelekeo wa afya) au ahame chuo-aangalie ufaulu wake kwa program za afya PCB inatakiwa D,C,C (MD na Pharmacy) aingize ndani ushindani na ukweli kuwa wakati huo udahili umesha fungwa na uhamisho ni kama kuna nafasi. Pole na mambo ya JKT.
asante kwa ushauri.lakini je ukisha fika chuoni hua wanatoa nafasi ya kuomba chuo kingine?
 
asante kwa ushauri.lakini je ukisha fika chuoni hua wanatoa nafasi ya kuomba chuo kingine?
Kipande cha TCU Almanac hiki hapa. Vyuo vinafunguliwa (17), mwisho wa kuomba uhamisho (18) na majibu ya mwisho ya wanaohama (19).
1536249913826.png
 
Back
Top Bottom