Mkuu hao ni chuo gani? Kwani kwenye TCU guide book waliweka minimum GPA ya ngapi? Uliomba vyuo vingapi?nimemaliza diploma ya elimu na nina GPA ya 3.6 lakini nashangaa kwenye account yangu wameniandikia you have been rejected from the system reason sijafikisha minimum entry wakat na GPA 3.6 sasa sijui wanataka minimum entry za kiwango gan.
Mkuu sikuelewi hapa. Tunacho ongelea sisi ni kiwango cha GPA kinachotumika kuamua kama mhusika anaweza kuomba na anastahili kufikiriwa kama apate admission (The standard used by TCU) na siyo muombaji aweke GPA ipi (ambayo inatakiwa iwe kwenye Transcript/AVN?).GPA Inayotumika ni ile inayotokea kwenye AVN usichanganye.