SAUT MWANZA (S.t augustine university)

SAUT MWANZA (S.t augustine university)

-mseto_

Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
92
Reaction score
47
Habari zenu wasomi,
najua ndo mnaparangana ku confirm vyuo now poleni mana wengi mtapata vyuo ambavyo hamkutaka, nilipitia izo boring stuff
kama umechaguliwa S.t augustine mwanza karibu sana hata mimi nilijua nitasoma udsm au mzumbe lakini ndo ivo soon utajua namaanisha nin. mazingira hapa ni mazuri joto kwa mbali kaupepo ka ziwani aaaah malimbe pazuri kwa watakaochaguliwa BAEC (bachelor of arts in economics) mmepata mwenyeji nichek nikuelekeze kila usichokijua kuhusu kozi/maisha/gharama/masomo/hustle nk
 
vyuo vingi bado havijaweka list hadharani. tuviombe vyuo vitoe list hadharani vikiwemo st. augustino, ardhi,na udsm pia.
 
Vyuo ni vya gvt tuuu vingine...mmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli amani chuo ulichosoma hakijalishi bila kozi zenye ajira zinazofahamika mfano udaktari
aliesoma udsm na saut wote hawana ajira mtaan skuizi ni vp mtu binafsi unajiongeza
vikikutema gvnt vyote utaitaman saut ya mbeya
 
Vyuo ni vya gvt tuuu vingine...mmmh

Ukimsoma Edson utaelewa kuwa kasema "kati ya applicant 74 113 ni 39 813 ndo waliopata udahili kwa awamu ya kwanza...karibu nusu wamekosa na watatakiwa kureaply tena kuazi sep 6 mpaka sep 9" Haya ng'ang'anieni vyuo vya serikali kama alivyo shauri mkuu hapo juu, mtaona matokeo yake. Ya kuambiwa changanya na ......
 
Habari zenu wasomi,
najua ndo mnaparangana ku confirm vyuo now poleni mana wengi mtapata vyuo ambavyo hamkutaka, nilipitia izo boring stuff
kama umechaguliwa S.t augustine mwanza karibu sana hata mimi nilijua nitasoma udsm au mzumbe lakini ndo ivo soon utajua namaanisha nin. mazingira hapa ni mazuri joto kwa mbali kaupepo ka ziwani aaaah malimbe pazuri kwa watakaochaguliwa BAEC (bachelor of arts in economics) mmepata mwenyeji nichek nikuelekeze kila usichokijua kuhusu kozi/maisha/gharama/masomo/hustle nk
Vp totozi wako nje nje?

mwanza kwetu
 
Back
Top Bottom