Xx je iyoo second round unapply upya ama inakuaje embu nisaidie mkuu hpround 2 imeanza leo....
Andika kiume mzeeXx hp nd cjajua bt jua tu wanaend kwa round hii n first selection kuna second
Hivi kuaapply ni kwenye website gan? Nina dogo wng amekosa awam ya kwanza so nataka nimsaidie kuomba tena...vp naingia wapi mkuu? Dogo hapatikan ningemuulizaingia kwenye vyuo unavyotaka kuomba maelekezo utapata huko..
yan apo ndo hailewek inaegemeana nachuo mana profile ud kuna reason tu kwann ujachaguliwa wajasema uapply tena au laa vyengine ndo ata profile azifungukiHivi kuaapply ni kwenye website gan? Nina dogo wng amekosa awam ya kwanza so nataka nimsaidie kuomba tena...vp naingia wapi mkuu? Dogo hapatikan ningemuuliza
Ingia kweny website ya vyuo husikaHivi kuaapply ni kwenye website gan? Nina dogo wng amekosa awam ya kwanza so nataka nimsaidie kuomba tena...vp naingia wapi mkuu? Dogo hapatikan ningemuuliza
Nimeingia lkn sion sehem ya kuapply...alaf pia dogo aliomba sua lkn ukiingia kwenye profile yake wanasema in progress wkt washatoa majina na dogo hayupoIngia kweny website ya vyuo husika