Utaratibu wa kusoma nje ya nchi.

Utaratibu wa kusoma nje ya nchi.

young_stunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2016
Posts
374
Reaction score
551
Habari Wakuu
Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha habari.nilikua naomba kujua utaratibu wa kusoma nje ya nchi. Nchi kama ujerumani Australia Norway na Canada. Kwa coarse kama Computer sciences na biomedical engineering.
 
Kwauelewa wangu nkwamba inategemeana na koz unayotaka na nchio unayo enda na taasisi inayo kushughulikia
Nilizma upate passport,visa,trasport fee, na pick up fee ukiwa umefika uko nje ya ... pia accomodation fee inauska
Mf EEI hawa wanaconnect china but kwa bei ndogo kbxa ni milion9 na sehm lkn inaweza kuzid kutana na life unalotaka uko
Mf UAR hawa wana bei wanacnect nchi zote ilozotaja ad marekani lkn kwa india ni ndogo ni sh m8 pia inategemeana na kozi zpo taasisi nying fuatilia tu mf GEL lkn mda umefka mwisho xa iv make wakwend washaenda co vyuo vimebaki vichache vya uko nje kwa udahili
 
GEL -Global education link
UAR-universal abroad representative
EEI- easy education institute eeiworld.com
 
Back
Top Bottom