Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakubwa Zangu Shikamooni Mimi Kama Kijana Wenu Age 20 Nina Ndoto Zakuja Kuwa Msomi Mkubwa Sanah Katika Masomo Ya Uchumi So Nivitu Gani Nifanye Ili Niweze Kufikia Ndoto Yangu Kipi Ni Boreshe...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
hasa kama unasubiri ajiraa achana nayo ..tumi mieziii sita ivii usomee mambo yaku exchangee....pesaah ..kupitiaah phone yako ...ukiwa vzr tuu ..kwa mwezii unauwezooh wakuingizaa more 1...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kuhusu staggered semister ya mzumbe university inahusu nini na kwa nini haipo kwenye nyuo vingine vya Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemaliza form 4 mwaka 2006 ..nakupata bcc katika masomo ya pcb..nimeapply nacte mwaka huu diploma ya medical laboratory je naweza chaguliwa chuoo cha serikali ..naomba ushaurr nimetingwaa wadauu
0 Reactions
17 Replies
10K Views
habar naomba kuulza muhtimu wa kidato cha nne alopata alama c kwenye eng na d kwenye kisw anaweza jiunga na chuo cha uandishi na utangazaji kilcho bora..??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanasiasa hasa (wabunge) wa CHADEMA, wanaohama chama chao na kujivua ubunge sababu kubwa wanazotoa ni, chagua jibu SAHIHI kwa haya yafuatayo:- (A) Kuunga mkono jitihada na Juhudi za rais wetu...
0 Reactions
4 Replies
940 Views
Daaa naanza kuogopa sasa maana nikikosa mkopo ndo muda wa kuwa mangi na mimi maana vyuo vya private ada yake ni hatari jamaani.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkoje na hali Wakuu wa JF?, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo huu, binafsi na kwa maslahi ya wengine wasiofahamu hili nilikuwa naomba kufahamishwa ni lini selection zitatoka kwa waliotuma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa Kuna mtu kachaguliwa kozi ya Bs of science in health information systerm sasa hanayejua hii kozi hinahusika na nini na ajira zake zkoje Nawakirisha na maoni yenu[emoji120]...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jamii forum polen na majukumu Nina mdogo wang amemaliza darasa la 7 namtafutia shule nzuri ya girls tupu yenye ufaulu mzuri na ada nafuu kidogo Yeyote aniambie napokea ushauri wa wote
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kuuliza Nataka kutuma maombi ya usahili ili niweze jiunga na chuo cha Mifugo au cha Misitu, mwisho wa kutuma maombi ni lini? kwani nilikua nasubiria secondsellection lakini sijachaguliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza kati ya electrical engineering na auto electrical & electronics eng Ipi ni kozi nzuri
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WADAU HABARI TAMISEMI IMETOA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOTAKIWA KUAMA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MWINGINE LEO TAREHE 10 AUGUST 2018... NILIKUA NAULIZA BARUA YA UAMISHO HUA ZINACHUKUA MUDA...
2 Reactions
21 Replies
11K Views
Naomba kuuliza Kama selection za diploma zimetoka?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Naomba anayejua hii shule ani inbob nna mwanafunz ko naomba taarifa kamili
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji mjuzi anayejua field za archeology na upatikanaji wa kazi zake tujuzane
0 Reactions
3 Replies
848 Views
1)Iyunga tech 2)Mbeya day 3)Meta Sec 4)Mbalizi sec 5)Sangu sec 6)Mwakaleri 7)Mano seminary 8) Pandahili seminary 9) Mbozi Mission sec 10)Itebde sec Enzi hizo ebu tukutane happa jmn...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Habari ya mda huu ndugu zangu. Kuna dogo mmoja alikuwa kwenye orodha ya multiple admitted, tumecomfirm SUA lakn profile yake haionyeshi mabadiliko yeyote. Naomba kufahamu kwa yule aliyeconfirm...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia...
8 Reactions
157 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…