Huyo dogo kwahiyo kaomba course asiyoijua !!!Habari zenu wakubwa
Kuna mtu kachaguliwa kozi ya Bs of science in health information systerm sasa hanayejua hii kozi hinahusika na nini na ajira zake zkoje
Nawakirisha na maoni yenu[emoji120] [emoji120] [emoji657]
Bwana afya huyo