telfontelfon
Member
- Jul 2, 2018
- 40
- 125
Wakubwa Zangu Shikamooni Mimi Kama Kijana Wenu Age 20 Nina Ndoto Zakuja Kuwa Msomi Mkubwa Sanah Katika Masomo Ya Uchumi So Nivitu Gani Nifanye Ili Niweze Kufikia Ndoto Yangu
Kipi Ni Boreshe Zaidi Katika Masomo
Plz Nisaidien Mdogo Wenu
Kipi Ni Boreshe Zaidi Katika Masomo
Plz Nisaidien Mdogo Wenu