Shule za Secondari 10 zilizokuwa zikibamba Mbeya miaka ya 1990-2005

Nkonzi JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
324
Reaction score
195
1)Iyunga tech
2)Mbeya day
3)Meta Sec
4)Mbalizi sec
5)Sangu sec
6)Mwakaleri
7)Mano seminary
8) Pandahili seminary
9) Mbozi Mission sec
10)Itebde sec

Enzi hizo ebu tukutane happa jmn Tukumushane enzi hizo
 
Nyingi zimebaki kuwa historia tu.at least pandahill kidogo iko vizuri.mbeya sec mwaka huu ndo imeamua ishike mkia kabisa matokeo ya six
 
Mbeya day wamekosea sana kupelek makombi ya pcm, pcb cjuiii yameiua shulee
Mm nakumbuk wakati kuna HGE, EGM na HGL ilikuwa inabamba si mchezo 2009
 
Kuna pcm tu ndo imeongezeka.kwa sasa ina hali mbaya sana...yaani haifai,hasa mwaka huu.Tatizo madogo wale walikua wanawapa bichwa sana yaani walio tangulia mbele walikua wanaona mazezeta[emoji2] .mwaka huu ndo imetoa mbumbumbu+
 
Hahahahahahhahahahhahahhahahahha hahhahahhaha waondoe tupak na art plus social science banaaa
 
Yaani wale madogo walikua wanajiona vipanga sana.mateacher nao wakawa wanawapa vichwa eti kisa wameenda kwa division,,,tofauti na six wa 2017 walioingia kwa GPA.yaani madogo walikua wanafanya paper ukiwaona utasema madogo wana AA zote, walivyokua wanashusha vitu kwenye paper na matokeo waliyopata[emoji23]
 
Hahahahahahhahahahhahahhahahahha hahhahahhaha waondoe tupak na art plus social science banaaa
Shida sio pcm.shida ni performance nzima ya shule.2011 shule ilifanya vzr sana na pcm ilitoa mwanafunzi bora wa namba kanda nzima.Toka hapo basi ilibaki tu kuwa story walimu wakiingia wanatuhadithia.mwaka huu wakaona wawapokee wenzao kushika mkia[emoji28]
 
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha mwaka 2010 advance walipaform atar
 
Yaani performance nzuri iliishia mwaka 2011.tangu apo tumekua tukisaidiana na wenzetu wa meta na iyunga kushika mkia..mwaka huu tukaona tuwapokee meta [emoji2]
 
1)Iyunga tech
2)Mbeya day
3)Meta Sec
4)Mbalizi sec
5)Sangu sec
6)Mwakaleri
7)Mano seminary
8) Pandahili seminary
9) Mbozi Mission sec
10)Itebde sec

Enzi hizo ebu tukutane happa jmn Tukumushane enzi hizo
Mimi nilosomaga mbeya day mpaka miaka ya usoni ilikuwa kasi sijui miaka hii!
 
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha mwaka 2010 advance walipaform atar
Yaani ticha alikua akiingia class anatumbia si mnawaona majirani zenu meta,,,mko jirani sana ,,na nyie mko mbioni kuwapokea umwisho..aisee kama utani mwaka huu kweli unabii umetimia,,madogo wameharibu balaa[emoji28]wamewapokea wanzao
 
Kipindi nasoma sangu..tulikua tunawaogopa sana mbeya sec.kuja kuingia pale advance,,aisee..hamna chochote yaani.
 
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha mbeyaday ya Shaulii ilikuwa pouwa Sana'a siku iziiii mmmmmh
 
Miaka hii hakuna kitu.mwaka huu wameamua kushika mkia kabisa matokeo ya six[emoji3]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] shule yangu mbeyaday jaman
 
Kipindi nasoma sangu..tulikua tunawaogopa sana mbeya sec.kuja kuingia pale advance,,aisee..hamna chochote yaani.
Sio kwer mbeaday walikuwa vzr Sana'a miaka ya 2010 kuludiiii nyuma ulikuwa huwezi kuwashikaa kaka huo Ndio ukwer
 
Back
Top Bottom