Swali Mtihani wa POLITICAL SCIENCE 101

kaskas

Senior Member
Nov 1, 2010
158
137
Wanasiasa hasa (wabunge) wa CHADEMA, wanaohama chama chao na kujivua ubunge sababu kubwa wanazotoa ni, chagua jibu SAHIHI kwa haya yafuatayo:-

(A) Kuunga mkono jitihada na Juhudi za rais wetu mtukufu.
(B) CHADEMA hakuna demokrasia.
(C) Mbowe ni dikteta, kakaa sana na uwenyekiti.
(D) Ruzuku kuliwa ovyo CHADEMA.
(E) Taama na Njaa za mhamaji.
(F) Kuvutiwa na itikadi ya chama anachohamia (CCM)

Jibu Sahihi [ ]
 
Bilashaka jibu lako ni E
Hiyo kununuliwa sio kwa hiari, mtu mwenye tamaa hahitaji ashawishiwe ili aitekeleze hiyo tamaa yake.

Kwa nini kama ni tamaa au njaa wakubaliwe na upande huo walikoenda kurudishwa tena kwa gharama yoyote ile kwenye wadhifa walioukimbia?
 
Nimekupata kiongozi
 
Back
Top Bottom