Naweza kusoma diploma ya medical laboratory katika chuo cha serikali?

dr lumilo

JF-Expert Member
May 26, 2016
271
67
Nimemaliza form 4 mwaka 2006 ..nakupata bcc katika masomo ya pcb..nimeapply nacte mwaka huu diploma ya medical laboratory je naweza chaguliwa chuoo cha serikali ..naomba ushaurr nimetingwaa wadauu
 
BCC Kama Ya Kwako Kweli Utapata,Maana Napata Mashaka Kama Umeweza Kupata Alama Hizo Halafu Unafikiria Kusoma Kozi Ya Maabara, Kwa Nini Usisome Pharmacy, , Clinical Officer Nk
 
BCC Kama Ya Kwako Kweli Utapata,Maana Napata Mashaka Kama Umeweza Kupata Alama Hizo Halafu Unafikiria Kusoma Kozi Ya Maabara, Kwa Nini Usisome Pharmacy, , Clinical Officer Nk
Mkuu kwann asisomee maabara? Kwan alama hzo hazifai kusomea Lab? Au unamaanisha pharmacy ni bora kuliko Lab?
 
Ofcoarse, Pharmacy Ni Bore Zaidi Kuliko Lab.
Huna akili kabisa wewe!. Kwani wanakopa benki si pesa zetu za Kodi?. Ingeweza kutumika kununulia dawa badala ya mashangingi au wangeweza kukopeshwa pesa kidogo za kununua LANDCRUISER ili kuokoa pesa za Umma! Una elimu gani wewe?
Hapa Nimeshajua Naongea Na Mtu Wa Aina Gani, Maneno Unayotumia Hapa Tu Kwamba Sina Akili, Elimu Yangu Nk.imenipa Picha Ya Kuwa Huna Uwezo Wa Kujenga Hoja Kwa Mada Uliotuletea, Sasa Kama Mm Ni Mtu Wa Kwanza Kuchangia Na Unakuja Na Response Ya Aina Hii Nafikiri Utakosa Wachangiaji Mahiri Ambao Watahoji Uhakika Wa Hoja Yako!! Jifunze Kujenga Hoja Na Uwe Na Tolerance Kwa Wachangiaji Wako, Ujiandae Kisaikolojia Kwa Majibu Yote Na Siyo Kukurupuka!!
Mkuu kwann asisomee maabara? Kwan alama hzo hazifai kusomea Lab? Au unamaanisha pharmacy ni bora kuliko Lab?
 
Nilipenda sana kusomea phyisiotherapy lakin nkaona chuo kinahitaji wanafunzi 20 tuuu ndo nkaingia wasiwasi kuwa kama nitaweza pata au la???
 
2006 form four sidhani kama utachukuliwa serikalini maana wanataka waliomaliza sio zaid ya miaka mitano nyuma
 
Daah mkuuu ..hapoo majangaa ..
Unapata ndugu mimi niliwaona wazee kabisa wanaitwa babu wanasoma diploma serikalini na anapewa nafasi ila ada unajilipia mwenyew , miaka ni option ya watu wanao apply direct from school
 
Back
Top Bottom