Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

Barua za uhamisho wa vituo vya kazi

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
112
WADAU HABARI

TAMISEMI IMETOA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOTAKIWA KUAMA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MWINGINE LEO TAREHE 10 AUGUST 2018... NILIKUA NAULIZA BARUA YA UAMISHO HUA ZINACHUKUA MUDA GANI KUTOKA BAADA YA MAJINA KUBANDIKWA KWENYE WEBSITE YA TAMISEMI... NATANGULIZA SHUKRANI
 
Pole unauliza hapa? Google TAMISEMI pata contacts wapigie
 
QUOTE="jonas255, post: 27908692, member: 118572"]WADAU HABARI

TAMISEMI IMETOA MAJINA YA WATUMISHI WA UMMA WANAOTAKIWA KUAMA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MWINGINE LEO TAREHE 10 AUGUST 2018... NILIKUA NAULIZA BARUA YA UAMISHO HUA ZINACHUKUA MUDA GANI KUTOKA BAADA YA MAJINA KUBANDIKWA KWENYE WEBSITE YA TAMISEMI... NATANGULIZA SHUKRANI[/QUOTE]
Wiki 2 mkuu, ijapo kuna jamaa yangu mmoja ilichelewa mwezi
 
Nimeona serikali imetoa taarifa kusitisha uhamisho
 
Back
Top Bottom