Daaa kwa hali hii sijui kama tutapata mkopo kwa section ya pilii

micky 00

Member
Apr 24, 2017
98
98
Daaa naanza kuogopa sasa maana nikikosa mkopo ndo muda wa kuwa mangi na mimi maana vyuo vya private ada yake ni hatari jamaani.
 
Daaa naanza kuogopa sasa ..mana nikikosa mkopo .. ndo mda wa kuwa mangi na mm ..mana vyuo vya private ada ayake ... ni hatari jamaan
we ndo kama mm nategemea mkopo npate mana najsomesha mwenyewe hata nkpata pesa ya malaz peke yake ntaweza kpambana
 
Huu mkopo ingewezekana kila mtu angepatiwa hela ya kula tu af Ada kila mtu ajijue lkn kukosa kabisa mmmmh kuwa mangi hakuepukiki
 
kwel mana kupga ndef tshazoea yan m nkpata ya malaz tu nasoma
Yani ndef sie watoto WA maskin kawaida sana mana hapa na type lkn nimekuala tikiti maji tu since the morning sasa kwa nin nisiishi chuo nikipewa hela ya maradhi tu? Sema haya heslb hawayajui
 
  • Thanks
Reactions: m2u
Back
Top Bottom