Achana nayo mkuu utasota maana hata huna pakuanzia. Kama unapata bumu it's okay ww some tuu unufaike na bumu lakini yajayo yatafurahishaNaomba msaada mwenye kujua kozi ya bachelor in library and information studies kwa upande wa ajira
Nimemiss nyuzi zako,,hujammiss putinAchana nayo mkuu utasota maana hata huna pakuanzia. Kama unapata bumu it's okay ww some tuu unufaike na bumu lakini yajayo yatafurahisha
Hahhahah mshamba huyu kanikimbia siku hiziNimemiss nyuzi zako,,hujammiss putin
Ngoja akusikieee utajutraaa yupo kwa carlos the jackal natamani akukute akufyekeleew mbaliHahhahah mshamba huyu kanikimbia siku hizi
Hahahaha yeye anatanga tanga tuu tangu last Year mara yupo kwa trump, kesho kwa carlos. Next time atakuja kwako ntachekajeNgoja akusikieee utajutraaa yupo kwa carlos the jackal natamani akukute akufyekeleew mbali
Ajira ni chache.Jaribu kucheki matangazo ya ajira kwa sasa upate picha.Naomba msaada mwenye kujua kozi ya bachelor in library and information studies kwa upande wa ajira
Hivi ni kweli?carlos the jackal
Ahhahahahaha cc carlos jackalHahahaha yeye anatanga tanga tuu tangu last Year mara yupo kwa trump, kesho kwa carlos. Next time atakuja kwako ntachekaje
kwamba Putin ndio huyo Jackal
Hakuna course rahisi au ngumu kupata ajira .Ajira inapatikana kwa kujishughulisha acheni kumkatisha tamaaNaomba msaada mwenye kujua kozi ya bachelor in library and information studies kwa upande wa ajira
Asante mkuu kwa kunipa mwangaHakuna course rahisi au ngumu kupata ajira .Ajira inapatikana kwa kujishughulisha acheni kumkatisha tamaa
library and information studies unaweza kufanya kazi sehemu mbalimbali za institution,hasa vyuo .
Pia na maofisi ya mwasiliano maana utajifunxa information studies itakusaidia kupata kazi za customer care ,katika bank information risk management ,wale data entry wasikudanganye kuhusu makatba tuu bt umesomea na information pia