Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kalamu ya Miambili ya Jonathan Kwizera (JK), Katibu Mkuu Mstafu DARUSO na Mhitimu UDSM* Nakupongeza kwa kufaulu kwenda Chuo Kikuu , aya nenda Mdogo wangu. Wanafunzi 40,000 watapata mkopo , na wewe...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau Nimeomba salio la deni ninalodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nilichopewa sio salio ni mkanganyiko wa kufadhaisha sana. Kwanza wamedai hesabu zao ni tafauti na hazina. Kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye file la udsm joining instructions
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kwa ambae anayo joining instruction ya Udom 2018 undergraduate anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mnakalibishwa kuweka kitu chochote kinacho husiana na mabadiliko kwenye Taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada jamani mwenye kujua tarehe ya kuriport udom kwa ngazi za certificate
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar zenu wana Jf!! Nilkua naomba kma kuna yoyote anayejua jinsi ya kupata hostel za ndan mapema katika chuo cha T. I. A ambacho kipo dar!! Maana nasikia hua zinajaa mapema sana!! Mayb namba ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hvi kufanya manunuzi kwa sarafu ya nchi husika kma Tanzania kutumia Tanzanian shilling badala ya dollar kufanya malipo hili litasaidia kukuza uchumi wa nchi husika?
0 Reactions
2 Replies
772 Views
CPA
Wadau kwa mtu anayeijua center nzuri kwa ajali ya review ya masomo ya uhasibu cpa kwa mkoa wa Mwanza tafadhali naomba anifahamishe ... mahali ilipo pamoja na fee intermediate kwa somo itapendeza...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Berachah Valley Primary and Secondary schools inatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi . Mwalimu awe na uzoefu wa kufundisha English medium schools na awe na cheti cha diploma au...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau....hivi hawa Tcu watatoa lini ilo official announcement na zaidi sana selection za 3rd round? Au ndo kusema Wametuchinjia baharini.. Au hizi presha ndio machozi ya samaki... Mwenye clue...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naomba kuuliza majina ya maombi ya Masters second batch yatatoka lini kwa udsm?
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Jamani msaada kuna mtu anataka kujua kama kuna yyte aliechaguliwa chuo zaidi ya kimoja tayari kashapata special code tcu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari Jf.Madereva wanao endesha magari ya serikali kama wanao waendesha wa kuu wamikoa wa kuu wawilaya makatibu tawala(rasi)na wa kurugenzi wa taasisi mbalimbali,naomba kujua na takiwa nifanye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wale wanaokifahamu chuo cha ita naomba information wakubwa nimechaguliwa hapo koz ya tax and custom management
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hv jaman information managent ni cozi nzur au mbaya na ajira zke ni kama wp hv na je inalipa?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Humu najua kabisa kuna watu mnavichwa vikubwa vya kufikiri — Great Thinkers — na kwa hiyo natumaini nitafaidika na michango yenu kuhusiana na Elimu hii mpya. Nahitaji kujifunza namna ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, mwalimu msingi kahama nipo nataka moro asante,ni inbox
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Za kuamka waungwana, naomba kuuliza juu ya application kwenye vyuo vya afya. Nina mdogo wangu kaapply st. Francis certificate ya pharmacy lakini mpaka Sasa hawajatoa majibu na ukiwapigia hawatoi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu naomba kujua waolio apply second round majina yao yanatoka Lin au kama yametoka mwenye anayo bas
0 Reactions
197 Replies
25K Views
Back
Top Bottom