Is it true kwamba wanaosomea sheria wote hawajui hesabu au sayansi kwa ujumla?

Kwani lazima wote tujue hesabu mzee!?? Tanzania tuna masomo zaidi ya kumi ni chaguo la mtu tu...halafu unaonekana bado mwanafunzi una bado kaushamba cha kutaka sifa..wangapi humu wamesoma sayansi na wamekausha tu
 
Mtu kujua hesabu tunaangalia perfomance yake ya sekondari. Mimi binafsi nafahamu wanasheria zaidi ya watano ambapo walichukua hiyo fani kutokana na kuipenda ila wangeweza kwenda hata engineering. Usi generalize wote
 
Kama ulivyo kilaza ww.
Watoto mliozaliwa miaka ya 2000 mna matatizo sana ninyi.
Huchelewi kuja kutuuliza ili uwe mbunge usomee nn, tahira ww
Ha ha ha. Mjibuni tu dogo vizuri bila hasira. Ukweli ni kuwa wengi tulifarakana njia pale form two walipomleta kwa mara ya kwanza mdudu anaitwa “Simulatenous equations “ na yule mwenzake Quadratic equations.
 
Wanaoenda sheria si arts ?? Hesabu inawapita kushoto . Hata quadratic equation hawajui . Wakijua lugha tu sheria inapanda kiainaaina . Ila mwenye kipaji cha hesabu anaburuza kila kitu .
 
Umeandika nini bwana mdogo.. what's matter?? Mention three states of matter??. Mbuzi mwitu wewe
 
Kuna kila namna ya kutafali elimu inatusaidia vipi katika nchi yetu , maana hii sio mara ya kwanza kuona post kama hii , kama mtu ni mtaaramu wa sheria unataka kujua kuhusu hesabu ili iweje , ungetoa kauri kwmba wanaosoma sheria hawajui lugha au kuandika hapo ningekusikiliza kidogo , hesabu na sheria zinamahusiano gani , hili ndio tatizo kubwa sana la kutafyta sifa kutokana na major unayochukua , wenzetu nchi za njee wanaanza mapema ku specialise kutokana na kuchukua masomo machache yenye mlengo wa career na profession mtu anayoipenda , sisi huku kwtu Imekua kusoma masomo mengi na magumu ndio sifa matokeo yake hatuna tunapoenea kotekote viraka ,
 
Sheria na hesabu kuna uhusiano , you speak mathematically you judge and analysing everything mathematically . Mathenatics is the key of knowledge .
 
Back
Top Bottom