Ushauri wapendwa kuhusu kozi ya kusoma kwa matokeo haya

DATABASEE

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
588
585
Habari Za jumapili ya Leo.
Naomben ushauri WA kitaalamu Kwenye Suala kuchagua Kozi nzuri Kwa Ustawi WA baadae na upatikanaji Wa Ajira.
Nina wadogo zangu wawili, mvulana kapata division one ya PCB kapata CCC, msichana kapata division two ya HGK kapata DDC..

Cc.
Gudume, Dabby, Demiss, heaven sent, miss natafuta, mshana jr, kilanga
 
Rafiki yangu napenda sana nakushaur ila mm nimeishia la saba mambo ya shule ni zerooo naimani utapata watu wa kukushauri upate jibu sahihi
 
Unataka [HASHTAG]#Gudume[/HASHTAG] akushauri kuhusu masuala ya shule ingali mdogo wako mmoja
ni wa kike mkuu ?
Ngoja tusubiri hapa mchango wake...

Wakati tukiendelea kumsubiri, nakushauri upitie nyuzi kadhaa zinazohusu maombi ya vyuo kwa mwaka 2018/19 zilizopo jukwaa hili hili, kule kuna ushauri wa jumla umetolewa hivyo unaweza kusaidika pia.
 
Mkuu ina Maana wao mpaka wamehitimu form six hawajui wanataka nini?
 
Unataka [HASHTAG]#Gudume[/HASHTAG] akushauri kuhusu masuala ya shule ingali mdogo wako mmoja
ni wa kike mkuu ?
Ngoja tusubiri hapa mchango wake...

Wakati tukiendelea kumsubiri, nakushauri upitie nyuzi kadhaa zinazohusu maombi ya vyuo kwa mwaka 2018/19 zilizopo jukwaa hili hili, kule kuna ushauri wa jumla umetolewa hivyo unaweza kusaidika pia.

Nami nawasubiri.
 
Habari Za jumapili ya Leo.
Naomben ushauri WA kitaalamu Kwenye Suala kuchagua Kozi nzuri Kwa Ustawi WA baadae na upatikanaji Wa Ajira.
Nina wadogo zangu wawili, mvulana kapata division one ya PCB kapata CCC, msichana kapata division two ya HGK kapata DDC..

Cc.
Gudume, Dabby, Demiss, heaven sent, miss natafuta, mshana jr, kilanga
Naamini ulisaidika
 
Back
Top Bottom