Ndiooo vigezo ninakidhiiKama hivyo course ipo pia hapo SUA na unakidhi vigezo basi nadhani inawezekana.
Enzi nasoma mimi iliwezekana, sijui kwa sasa..
Ndio inawezekana,kikubwa iyo course iwe na na nafasi yakuchukua watu wapya kwa maana ya wanaotaka kuhamia,pia unatakiwa uwahi mapema chuo ili kufanya maombi ya uhmisho,Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????
Mimi nakupa ushauri kama kaka ako...Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je inawezekana kufanya hivyo????