Wana jf nilikuwa naomba ushauri kuhusu coz ya bsc.degree in biology je aneyeisoma hii course mbeleni anakuja kuwa nani na kuhusu ajira hii course imekaaje huko??
Bsc in biology usome md???? Haiwezekan kabisaaKazi zake sijui ila mbele unaweza kusoma degree ya medicine ukawa daktari wa binadamu au ukasoma pharmacy niseme degree zote za afya
Bsc in biology usome md???? Haiwezekan kabisaa
Iyoo koz sio nzur sanaa wanaosoma apoo udom weng wanajutia kwan hata field zake tu n shida,
Kwa ufupi ni bora usome bsc with education unaweza kuwa ata mwalimu kuliko iyoo kitu mkuu
Una maana gan unavosema mbele anaweza soma md???Soma vigezo vya equivalent kujiunga na bachelor mwaka huu. No research no right to speak. Ukishasoma ndio rudi tena